Wednesday, 4 October 2017

Je, unahitaji ushauri na mafunzo kuhusu hay?

Hay ni nyasi kavu zilizotunzwa kwa ajili ya kulishia mifugo. Mara nyingi hutumika wakati wa kiangazi mfugaji anapokumbana na uhaba wa malisho.
Nyasi hutunzwa vizuri na kuvunwa kwa mashine au nyenzo rahisi kulingana na ukubwa wa eneo. 

Kisha nyasi hufungwa vizuri na kuhifadhiwa pasipo kupoteza ubora wake (palatability and nutritive value) katika mazingira salama yasiyo na unyevunyevu. 

Mfugaji huweza kupatia hay mifugo kwa kuongeza viungio kama molasi.  Wasiliana nasi kutambua namna bora ya kuandaa hay kwa ajili ya mifugo. Pia tunatoa elimu kwa vikundi vya mifugo. 

 Wasiliana nasi kwa kuacha ujumbe kisha tutakutafuta.

No comments:

Post a Comment